Kigali: Kumepatikana maiti ya msichana ikivaa uchi


Habari Mpya

Maiti ya msichana ambaye anadaiwa kuwa ni kutola Wilayani Gakenke imepatikana mjini Kigali, mtaani Gatsata ikivaa uchi.

Inatuhumikakwamba aliuawa lakini kumepatikanavikaratasi kutoka hospitalini, jambo ambalo linaleta wazo kuwa ameuawa.

Kwa mujibu wa Tovuti Umuseke, mashahidi wamesema, maiti ilikuwa na jeraha kwenye paja na kulikuwa kamba karibu na shingo lake.
Msemaji wa Polisi Mjini Kigali, CIP Marie Goretti Umutesi amesema upelelezi husika na kifo hicho umeanzishwa.

Maiti imepelekwa Hospitali Kacyiru ili kufanyiwa uchunguzi.



Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari