Viongozi wa Jeshi la Rwanda (RDF) wametangaza Kanali Tom Byabagamba aliyewahi kuwa kiongozi wa walinzi wa Rais Kagame, amefunguliwa mashataka mengine ya rushwa na kutoroka gereza.
Kwa mujibu wa RDF, Kanali Byabagamba anashtakiwa kuipaka masizi serikali, kulenga kushambulia nchi na uchochezi. Mashtaka yote anayalaani.
Kuna taarifa kwamba Byabagamba alijaribu kutoroka kwa msaada wa watu ndani na njye ya nchi.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo