Mahakama ya rufaa Mjini Kigali imeamua afungwe maisha jela Luteni Joel Mutabazi ambaye aliyewahi kuwa mmoja mwa walinzi wa Rais Kagame.
BBC imeripoti kuwa Mutabazi amesaini hukumu kwa akiwa na furaha usoni.
Mwaka 2014, Mutabazi alihukumiwa kufungwa maisha jela kwa masthaka ya uhalifu wa vitendo vya ugaidi na kulenga kumuua Rais Kagame.
Tangu kesi hii ianze,Mutabazi alilaani mashaka hayo.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo