Mwanamke Sylivie Muneza amewea wazi kuwa ametimiza miaka 21 akiwa na virusi vya ukimwi.
Kwenye mkutano wa Kimataifa juu ya ugonjwa wa ukimwi, Muneza amesema " Aliambukizwa virusi vya ukimwe mwaka 1998. Kulikuwa karantni kwa kutoka majirani, ndugu,na wengine." Muneza amesema
" Nilitaka nijiue kwa ajali ya gari, lakini haikuwezekana." Ameongeza
Ameshukuru shukuru serikali kwa kutoa msaada kama vile dawa na mengine.
Amesisitiza hana woga wowote kuweka wazi ushahidi wake kuhusu anavyoishi.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo