Msichana mkazi Wilayani Nyagatare ameweka wazi alivyopachikwa mimba na ndguguye, jambo lilikuwa chanzo cha kuwachukia wanaumwe.
Msichana huypo, amesema kuwa aliwachukia wanaume hadi baba yake.
" Ilikuwa ni tatizo nyumbani, baba alikuwa karibu kuamua kuhama nyumbani kwa ajili ya chuki yangu" Ameambia KT Press
"Baada ya kuwa mja mzito, sikutaka hata kuzaa mtoto wa kike, kisha nikamzaa lakini namlea kwa upendo wote kwa sasa." Ameongeza
Amesema hakuamini nduguye atampa mimba lakini hilo lilitokea na akambaka wazazi wake walipokuwa hawaponyumbani.
Amewashauri vijana kwa ujumla kujiepusha na dawa za kulevya, kwani ndilo lililosababisha kilichomkuta.
Gavana wa Mkoa wa Mashariki, Fred Mufulukye "amehamasisha wazazi kuongea na watoto wao kujua wanayokabiliana nayo.
Tanga igitekerezo