Mchambuzi wa mambo ya siasa na mwalimu chuoni, Dkt Christopher Kayumba amefungiwa kwenye kituo cha Polisi Remera Mjini Kigali.
Shahidi amesema imetokana na kuwa mtu maarufu huyo alikuwe anaendesha gari amelewa.
Viongozi wa polisi nchini Rwanda hawaja funguka lolote kuhusu kukamatwa kwake, Kayumba.
Mwenzake, Fred Mwasa amesema " Kayumba yumo ndani katika kituo cha polisi cha Remera."
Kayumba pia alikamatwa mwaka jana juu ya ulevi, yeye alisema anaonea na polisi na itafka kiwango ambacho aache kuendesha gari nchini Rwanda. Kulikuwepo pia msuguano kati yake na polisi.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo