Mkazi kwa majina ya Ntibisigwa Célestin, ametangaza kumaliza miezi 11 bila mshahara wake wa ulinzi wa nyumba Wilaya ya Nyagatare, ambazo zilijengewa na ’Urugerero’.
" Nilipatiwa mashahara tarehe 3 Disemba 2018, tangu wakati huo, sijapata pesa nyingine." Ntibisigwa ameambia Kigali Today.
" Niliomba kama hawatanilipa niage, nende zangu lakini haikuwezekana." Ameongeza
Steven Rurangwa, amabaye ni Makamu wa Kiongozi wa Wilaya ya Nyagatare kwa wajibu wa amambi ya kijamii amesema Ntibisigwa alinyanyanyaswa na kwa hiyo, wanatafuta namna ya kumpa fedha zake.
" Nilifanya ufuatiliaji nikagundua kwamba Ntibisigwa alinyanyaswa, tutampa pesa zake." Rurangwa amesema
Kiongozi huyo amesema kuna walinzi wa wilaya ambao wanatosha kulinda usalama hapo.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo