Familia ya watu 5 Wilayani Nyamagabe, kusini magaharibi mwa Rwanda imesema kwamba imeishi kwa miaka 5 ikiishi katika nyuma isiyo na paa.
Mke UWAMARIYA MUKASHYAKA, na mumewe, BAYAVUGE Emmanuel an watoto wao watatu wanaishi katika nyumba isiyo na mabati.
Wamesema kuwa " Mvua inawanyeshea kila ikinyesha."
Kiongozi wa Mambo ya Kijamii Wilayani Nyamagabe, Mujawayezu Prisca amesema hajui tatizo la familia hii.
Amesema hilo si ajabu kwani kuna wengi ambao hata hawana makazi.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo