Mwanamke Mukarurangwa Mkazi Tarafa ya Bweramana Wilayani Ruhango ameuawa baada ya na watu amabao hawajatambulika.
Kisa hicho ni baada ya siku chache kufarakana na mumewe Lando juu ya kutoelewana.
Kwa hilo, Mahakama ilitoa uamuzi kwamba mwanamke aendelee kuwalea watoto.
Mashahidi wamesema, Mukarurangwa amekatwa wakati ambapo watoto hawakuwa nyumbani pia mchungaji wa ng’ombe alikuwa hayupo.
Upelelezi umeanzishwa na kuwafunga mchungaji ng’ombe na aliyekuwa mume wa malehemu, Lando.
Msemaji wa Ofisi Kuu ya Uendeshamahtaka nchini, Marie Michelle Umuhoza amesema hilo limetokea na kuhamasisha watu wasiuane kwani ni kinyume na mila za Wanyarwanda.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo