Baadhi ya viongozi wa ngazi za chini Mjini Kigali wamekusanyika na kutoa wito wa kutoa masuluhisho ya matatizo ya wapenzi wa jinsia moja.
Mkutano uliotokea Alhamisi uliwahamasisha viongozi kutoa mchango wao kudhibiti ubaguzi na unyanyasaji unaowakumba mashoga nchini Rwanda.
Viongozi wamezinduwa kuhusu namna ya kuwapa mashoga huduma sawa.
Kiongozi wa Shilika la Hope and Care, Seleman Nizeyimana amesema “ Uzinduzi huo uanalenga kuwashawishi viongozi waanze kampeni za kupiga marufuku unyanyasaji dhidi ya mashoga.”
Nchini Rwanda, ushoga si kosa lakini hailingani na tabia, mila na desturi za Wanyarwanda.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo