Nyagatare: Mkazi akaribia kutimiza mwezi bila mshahara


Habari

Mkazi kwa majina ya Ntibisigwa C�lestin, ametangaza kumaliza miezi 11 bila mshahara wake wa ulinzi wa nyumba Wilaya ya Nyagatare, ambazo zilijengewa na ’Urugerero’.

" Nilipatiwa mashahara tarehe 3 Disemba 2018, tangu wakati huo, sijapata pesa nyingine." Ntibisigwa ameambia Kigali Today.

" Niliomba kama hawatanilipa niage, nende zangu lakini haikuwezekana." Ameongeza

Steven Rurangwa, amabaye ni Makamu wa Kiongozi wa Wilaya ya Nyagatare kwa wajibu wa amambi ya kijamii amesema Ntibisigwa alinyanyanyaswa na kwa hiyo, wanatafuta namna ya kumpa fedha zake.

" Nilifanya ufuatiliaji nikagundua kwamba Ntibisigwa alinyanyaswa, tutampa pesa zake." Rurangwa amesema

Kiongozi huyo amesema kuna walinzi wa wilaya ambao wanatosha kulinda usalama hapo.



Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari