Kamembe: Wananchi walalamikia kutolipwa fidia kutoka ujenzi wa barabara


Habari Mpya

Wakazi maeneo ya Nduma, Karangiro na Mundima, Tarafa ya Kamembe Wilayani Rusizi, wametangaza kumaliza miaka sita wakingoja kulipwa fidia kwa mali zao zilizoharibika wakati wa ujenzi wa barabara.

Wamesema waliambia watapatiwa fidia lakini wakakosa. Wamesema mali kama vile mashamba na miti lakini hawakulipwa.

Makamu Kiongozi wa Wilaya ya Rusizi kwa mambo ya kijamii, Kankindi Leoncie amesema wakazi wa vijiji ambavyo vimetajwa awakuahidiwa fidia.

Amesema barabara ilirengenezwa kwa manufaa ya jamii na itaongeza gharama ya ardhi yao.

Hata hivyo, wakazi wamesema haukuwepo mkutano kujadili hilo suala.Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari