Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameaga dunia


Swahili

Serikali ya Jamhuri ya Burundi, leo Juni 9, imetangaza kifo cha Pierre Nkurunziza, Rais anayemaliza muda wake.

Nkurunziza aliyelazwa katika Hospitali ya Karuzi tangu Jumapili, Juni 7 alikufa kwa ugonjwa wa moyo jana, Juni 8.

Marehemu Nkurunziza alitawala Jamhuri ya Burundi tangu 2005. Alifufa akiwa na umri wa miaka 55.Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari