Rwanda: Mvua yaua watu 15 wiki mbili


Habari Mpya

Mvua kali inayonyesha nchini Rwanda imewaua takriban watu 15 katika siku 15, Wizara ya Majanga nchini Rwanda imesema.

Wananchi wanawoishi mahali pa hatari wameshauriwa kuhama kwa haraka.

Pia Rwanda imetangaza watu 22 walijeruhiwa, nyumba 200 ziliharibika pamoja na madaraja saba pia na barabara sita.

Nchi za mashariki mwa Afrika zinakabiliana na mvua nyingi mno siku hizi na kusababisha vifo vya watu 300 kwa ujumla.

Inatarajiwa kuwa mvua itaendelea kunyesha kwa wingi leo tarehe 9 Disemba 2019Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari