Kufanya mapenzi asubuhi ni njia mojawapo ya kusaidia wanandoa kuimarisha upendo na ukaribu. Wataalamu wanasema kuwa tendo la ndoa la asubuhi huamsha mwili vizuri na huongeza ukaribu wa kimapenzi kati ya wenza.
Hizi ndizo njia tano wanandoa wanaweza kutumia kufurahia tendo la ndoa asubuhi:
-
Kupeana mapenzi kwa utulivu: Wote wawili wanapoamka wakiwa bado wametulia, wanaweza kushiriki tendo la ndoa kwa urahisi bila kuchoka sana, hasa wakiwa wamekumbatiana.
-
Kuingiliana kwa nyuma (doggy style): Hii hufanyika mke akiwa amelala kifudifudi au akiwa amepiga magoti, na hupendwa zaidi na wanaume asubuhi kutokana na joto la kitanda.
-
Miguu mabegani: Mwanamke huinua miguu na kuiweka kwenye mabega ya mume, hali inayorahisisha tendo na kuongeza raha.
-
Mwanamke juu: Ingawa wengine husema ni ya zamani, mwanamke akiwa juu anaweza kudhibiti tendo, na ni rahisi kwa wote wawili.
-
Chumbani wakati wa kuoga: Kufanya mapenzi bafuni kunaleta hali ya kipekee na ya kimahaba kwa sababu ya maji, mawasiliano ya macho na mazingira.
Watafiti wanasema kufanya mapenzi asubuhi huchangamsha mwili, huleta furaha na huchangia siku nzuri mbele.


