20250508_202243

Moshi Mweupe Waonekana: Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya

Sangiza iyi nkuru

Alhamisi, tarehe 8 Aprili, Makardinali wa Kanisa Katoliki walimchagua kiongozi mpya wa kiroho kuchukua nafasi ya Papa Francis aliyefariki mwezi uliopita.

Papa mpya, wa 267 katika historia ya Kanisa, alichaguliwa ndani ya Kanisa la Sistine katika Vatican, ambapo moshi mweupe ulionekana kuashiria uchaguzi umefanikiwa.

Jina lake bado halijatangazwa rasmi, lakini alichaguliwa katika duru ya tatu ya upigaji kura, baada ya kura mbili za awali kuashiriwa na moshi mweusi – ishara kwamba makubaliano yalikuwa hayajafikiwa.

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *