Rwanda: Felix Namuhoranye amepandishwa cheo cha juu zaidi katika jeshi la Polisi

Sangiza iyi nkuru

Rais Paul Kagame, amempandisha cheo Felix Namuhoranye, mkuu wa Polisi wa Rwanda, hadi kuwa DCG na kumpa cheo cha Kamishna Jenerali (CG).

Mkuu huyo wa nchi amempandisha cheo hicho maalum baada ya kumfanya Mkurugenzi Mkuu wa Polisi Rwanda Februari mwaka huu kuchukua nafasi ya CG Dan Munyuza aliyekuwa akihudumu kwa muda mrefu.

Afande Namuhorane alikuwa Naibu Kamishna Jenerali (DCG) kuanzia Aprili 2021, alipopandishwa cheo na Mkuu wa nchi na kuondolewa katika nafasi ya Kamishna wa Polisi (CP).

Bagabo John

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *