Nyanza: Walimu wanne walikamatwa kwa kutoa mimba ya mwanafunzi

Sangiza iyi nkuru

Mwanafunzi huyo mjamzito arikua akisomea katika Shule ya Sekondari ya Sainte Trinité huko Nyanza ambapo walimu hawa warikuwa wakifundisha.

Katika Wilaya ya Nyanza Jimbo la Kusini kuna taarifa za kukamatwa kwa walimu wanne, ambapo walituhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi waliyekuwa wakimfundisha.Taarifa hizo zilijulikana Jumatano ya Julai 12, 2023 ambapo Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Taifa (RIB). ) kuwakamata walimu hawa mara moja baada ya kupata taarifa kuwa mpango huu wa kutoa mimba unaendelea.

Miongoni mwa walimu hao ambao wametiwa mbaloni ni pamoja Mwalimu anae simamia tabia.

RIB na Polisi waliwakamata walimu hao wakiwa wamekusanyika katika nyumba moja baada ya kuwa tayari wamempa dawa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 21.

Walimu wanaoshukiwa kufanya uhalifu huu wamefungiwa katika kituo cha RIB kilichopo Ruhango.

Msemaji wa RIB anaendelea kuwahimiza wananchi kuendelea kutoa taarifa ili kuepusha uhalifu huo, na kuwashukuru waliohusika ili wakamatwe.

Shule hii ya Sainte Trinité mnamo Mei 2023 iliripotiwa kuwa wanafunzi 17 wa shule hiyo iliyoko Wilaya yani Nyanza walifukuzwa mara moja, waliombwa warudi nyumbani kwa wiki 2.

Bagabo John

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *