Wakazi maeneo ya Nduma, Karangiro na Mundima, Tarafa ya Kamembe Wilayani Rusizi, wametangaza kumaliza miaka sita wakingoja kulipwa fidia kwa mali zao zilizoharibika wakati wa ujenzi wa barabara.
Wamesema waliambia watapatiwa fidia lakini wakakosa. Wamesema mali kama vile mashamba na miti lakini hawakulipwa.
Makamu Kiongozi wa Wilaya ya Rusizi kwa mambo ya kijamii, Kankindi Leoncie amesema wakazi wa vijiji ambavyo vimetajwa awakuahidiwa fidia.
Amesema barabara ilirengenezwa kwa manufaa ya jamii na itaongeza gharama ya ardhi yao.
Hata hivyo, wakazi wamesema haukuwepo mkutano kujadili hilo suala.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo