Msichana dobi, Useguwenimana amekamatwa kwa tuhuma za kumtupa mtoto chooni baada ya kumzaa Kijijini Gisasa, Wilaya ya Gasabo, Mjini Kigali.
Majirani wamesema taarifa za kisa hicho zimejuliana lei asubuhi baada ya wenyeji wake kuona damu nyingi chooni.
Alipoulizwa, Devota amesema kuwa alikwenda haja kubwa ndogo na kuhisi kitu kimeanguaka chooni.
Viongozi mtaani wamesema inawezekana kama alimzaa na kumtupa mtoto chooni baadaye kwa kuwa damu imepatikana kitandani mwake.
Mtuhumiwa amekatwa kwa mjibu wa mashahidi na upelelezi umeanza.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo