Mkazi mmoja eneo la Kicukiro mjini Kigali alikuwa na FRW 500 amemuomba Polisi kufungwa juu ya matatizo aliyonayo nyumbani, halafu polisi akampa Frw 5,000.
Mzee mmoja kulingana na taarifa za facebook, ameeleza anakuenda kununua chakula cha familiya yake ya watu tisa. Alipofika mbele, akarudi na kutupa pesa zake na kumuomba polisi amfunge gerezani.
Afisa huyo, amezungumza kidogo na polisi huyo kisha akampa Frw 5000.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo