Rwanda: Uhaba wa maji safi wazuka Wilayani Rubavu


Habari

Uhaba wa maji umejitokeza Kijijini Rugerero, Wilayani Rubavu ambako kuna wakazi wanaotimiza mwezi bila kupata maji safi.
Wakazi wameambi televisheni ya TV 1 kuwa wana boma la maji lakini ni kama onyesho kwani halitoi maji.

Wakazi wamesema kuna wakati ambapo wanapata maji kutoka Mtoni Sebeya.

Kiongozi wa Tarafa la Rugerero, Faustin Nkurunziza amesema tatizo la uhaba wa maji ni kubwa katika eneo hilo.

Amesema haina budi kufunga maji mtaani fulani ili wengine wapate.
Wakazi eneo hilo, wamesema eneo lao hupata maji mala chache kinyume na yaliyotangazwa na kiongozi.

Hata hivyo, Nkurunziza amesema kuna mradhi wa kutengeneza chimbuko la maji wilayani litajalotoa m3 za maji.Habari...

Leave a Comment

Who are you?
Your post
  • This form accepts SPIP shortcuts [->url] {{bold}} {italic} <quote> <code> and the HTML code <q> <del> <ins>. To create paragraphs, simply leave blank lines.

Kibarua cha habari