Rwanda: Maafisa wa serikali watoa mshahara wa mwezi Aprili kwa ajili ya COVID-19

Sangiza iyi nkuru

Maafisa wakuu katika serikali ya Rwanda wameamua kutoa mishahara yao ya mwezi Aprili kwa kuisaidia nchi kupambana na COVID-19.

Tangazo kutoka Ofisini ya Waziri Mkuu imehakiksha taarifa hizo na kusema inawahusu mawaziri, mabunge, maseneta na wengine.

Kwa sasa, watu 104 wenye ugonjwa wa COVID-19.

Pamoja na hayo, wananchi wanaendelea kulazimishwa kukaa nyumbani kufika tarehe 19 Aprili kutakapotangazwa uamuzi mwingine.

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *