Bwiza

Gisagara: Mkazi aeleza alivyopokonywa ng'ombe wake

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Kabiri, 26 Ugushyingo 2019 saa 09:50
Iminota 1 yo gusoma1 Abasomye
Gisagara: Mkazi aeleza alivyopokonywa ng'ombe wake

Mkazi Wilayani Gisagara, Tarafa ya Save Kijijini Syanda, Clementine Mukeshimana ameonekana mbele ya Gavana wa Mkoa wa Kusini, Emmanuel Gasana akiwa na malalamiko ya kunyanganywa ng'ombe aliyepatiwa na serikali kwa mradi wa ' Gira Inka' kumaanisha " Miliki ng'ombe'

Mkuu wa Kijiji, alimuambia Gavana tarehe 5 Novemba kwamba Mukeshimana alinyimwa ng'ombe wake kwani hakuwa na zizi.

Hata hivyo, majirani walisema huo ni ungo mtupu. Wameambia Ukwezi.com kuwa alipokutana na gavana Gasana, Mukeshimana alikuwa ametimiza wiki tatu akiwa na zizi.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Majirani wamesema zizi lake Mukeshimana halina paa na ndio maana hajapatiwa ng'ombe kinyume na alichoagiza Gavana Gasana.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.