Bwiza

Kusini/Ruhango: Wakazi waishi katika hofu juu ya wizi wa usiku

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Kane, 21 Ugushyingo 2019 saa 13:50
Iminota 1 yo gusoma3 Abasomye
Kusini/Ruhango: Wakazi waishi katika hofu juu ya wizi wa usiku

Wakazi Kijijini Nyamagana, Tarafa ya Ruhango, Wilayani Ruhango wametangaza kusihi kwa woga kwa ajili ya wizi wa eneo maarufu kama Muyurupfu, kumaanisha 'njia ya kifo'.

Wamesema njia hio karibu na msitu kunapatikana wavuta bangi na wizi wa mali za wapita njia.

Stanislas Byamana amesema hawezi kupita njia hio ikiwa na juu ya saa moja usiku.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Mmoja mwa wanawake waliowahi kuibiwa simu na wizi hao, amesema wanaiba mali wasichana kisha wakawabaka.

Kiongozi wa Wilaya ya Ruhango, Valens Habarurema amesema " Jambo hilo la usalama litapatiwa suhulisho kamili"

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.