Rubavu: Mama na wanawe wawili aponea chupuchupu nyumba iliyo moto

Sangiza iyi nkuru

Mama kwa majina ya Sandrine Uwase na wanawe mmoja wa miezi miwli na mwingine wa miaka sita wamepona nyumba iliyoaka moto usiku wa tarehe 1 Disemba 2019.

Moto huo kama inavyotangazwa na viongozi kijijini, umesababishwa na mshumaaa.

Kila kitu nyumbani kimechomwa na walionusurika wamepelekwa Hospitalini Mjini Kigali.

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *