Rwanda: Mtihani wahairishwa baada ya wanafunzi kupatiwa mtihani wa siku nyingine

Sangiza iyi nkuru

Mtihani wa masomo ya muziki umehairishwa baada ya wanafunzi wa Shule la Nyundo kulalamika kwamba wamepatiwa mtihani wa siku nyingine.

Hilo lilitokea tarehe 12 Mwezi Novemba, siku ya kwanza ya mtihani wa taifa nchini Rwanda.

Kiongozi wizarani ya Elimu, Dkt. Valentine Mujawamariya amesema mtihani umerudishwa mjini Kigali na mtihina mingine imerudishwa ili kufanyiwa uchunguzi.

Kumeamua wizara itaanda mtihani mwingine.
Mala chache hilo hutokea nchini Rwanda.

Soma Izindi Nkuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *