Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema hadharani kuwa anataka mwanamke achukue mikoba yake.
Alisema hilo jana wakati wa mkutano wa Mushikirano mjini Kigali.
” Muongeze mwondo, sijui wanavyodhani wanaume lakini nafasi hii nigenpenda ichukuliwe na mwanamke.” alisema Kagame
Kwa sasa wengi wanajiuliza miongoni mwa wanawake nani anaweza kuwa Rais wa Rwanda.


