Mfanyakazi wa hosipitali ya CHUB kusini mwa Rwanda, Ntawuhiganayo Narcisse amekamatwa kwa kutuhumiwa kumuua, Felix Iriboneye kijana wa miaka 28 aliyekua muuzaji wa airtime karibu na hospitali.
Malehemu aliuawa kwa kutumia kamba na kumfunga mikono kama mwenzake Ntawukuriryayo, aliambia gazeti la Umuseke.
Msemaji wa Ofisi ya Uendeshamashtaka nchini (RIB), Marie Michelle Umuhoza amehakikisha habari hizo na kusema upelelezi umeanzishwa.
Haijaeleweka kwa nini alimuua kijana huyo.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo