Wakazi Wilayani Huye, Tarafa ya Mbazi kijijini Mutunda wamemshitaki kiyongozi kwa Wajibu wa mambo ya kijamii, Vestine Nyirangendahimana kura rushwa na kuwapatia huduma mbaya.
Mmoja mwa wakazi ameambia Ukwezi.com kuwa Vestine alikata kumpa huduma ya Ubudehe.
Amesema miaka miwili imetimia bila yeye kupatiwa huduma.
Kuhusu madai ya rushwa, mkazi amesema Vestine anawaomba pesa wanaotaka kuonekana kwenye orodha ya wale ambao watapatiwa msaada wa serikali kupitia mradhi wa VUP.
Vestine amelaani kuongea kuhusu madai hayo.
Mkuu wa Tarafa ya Mbazi, Clemence Uwimabera amesema hakujua jambo hilo ila kuataanzishwa ufuatiliaji.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo