Wakazi Kijijini Nyamagana, Tarafa ya Ruhango, Wilayani Ruhango wametangaza kusihi kwa woga kwa ajili ya wizi wa eneo maarufu kama Muyurupfu, kumaanisha ’njia ya kifo’.
Wamesema njia hio karibu na msitu kunapatikana wavuta bangi na wizi wa mali za wapita njia.
Stanislas Byamana amesema hawezi kupita njia hio ikiwa na juu ya saa moja usiku.
Mmoja mwa wanawake waliowahi kuibiwa simu na wizi hao, amesema wanaiba mali wasichana kisha wakawabaka.
Kiongozi wa Wilaya ya Ruhango, Valens Habarurema amesema " Jambo hilo la usalama litapatiwa suhulisho kamili"
Isangize abandi
Tanga igitekerezo