Watu wanne amabao majina yao hayajatambulika bado wameuawa na wanajeshi walikuwa kwa ulinzi usiku Wilayani Rwamagana. kaskazini mwa Rwanda.
Kuna taarifa kundi hilo la watu likuwa katika mambo ya wizi na kukamtwa halafu wakajaribu kupamabana na wanajeshi.
Polisi Mkoa wa Mashariki imehakikisha taarifa hizo lakini jeshi limekata kujua taarifa hizo.
Msemaji wa jeshi la Rwanda Luteni Kanali. Innocent Munyengango amesema hajui kuhusu hilo. Ameahidi atatujulisha atakapojua taarifa hizo.
Pia kuna habari nyinge kwamba kasikazini kuna watu watatu pia ambao wamepigwa risasi wakijaribu kuvuka mpaka kwa biashara marufuku.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo