Wagonjwa wa Virus vya Corona nchini Rwanda wamefika 75 kulingana na tangazo la Wizara ya Afya nchini humo.
Rwanda inashika nafasi ya pili eneo la Afrika Mashariki kuwa na wagonjwa wengi wa ugongjwa huo.
Kwa sasa, Kenya ingali kwa nafasi ya kwanza na wagonjwa 81.
Serikali zimeanzisha mikakati mkikubwa ya kuwakinga wananchi wake Virus vya Corona.
Nchini Rwanda watu walikatazwa kuenda nje bila mpango tangu tarehe 21 mwezi Machi wakati wa wiki mbili.
Kwa sasa, inatarajiwa kuwa kuna uwezekano kwamba muda huu utaongezeka.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo