Maafisa wakuu katika serikali ya Rwanda wameamua kutoa mishahara yao ya mwezi Aprili kwa kuisaidia nchi kupambana na COVID-19.
Tangazo kutoka Ofisini ya Waziri Mkuu imehakiksha taarifa hizo na kusema inawahusu mawaziri, mabunge, maseneta na wengine.
Kwa sasa, watu 104 wenye ugonjwa wa COVID-19.
Pamoja na hayo, wananchi wanaendelea kulazimishwa kukaa nyumbani kufika tarehe 19 Aprili kutakapotangazwa uamuzi mwingine.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo