Wasichana 50 kutoka kijiji kimoja cha Gitesi ndio waliopachikwa mimba Wilayani Karongi, magharibi mwa Rwanda.
Utafiti wa Shilika la Action Aid ulionyesha wengi wao walipata mimba kutoka kwa wtu wenye uhusiano nao.
Mkurugenzi wa Action Aid Wilayani Karongi amesema " Jamii haina budi kuwasidia waliozaa na watoto wao ili wasipoteze imani ya kesho."
Waliopata mimba wamesema ni suala kubwa kwao kuzaa kabla ya kufunga ndoa.
Makamu Kiongozi wa Wilaya kwa wajibu wa Mambo ya Kijamii, Mukase Vestine ameambia Umuseke kuwa wasichana hao wanastahili kujilinda kuanguka mtegoni mala ya pili. Amewahamasisha kuendelea na maendeleo yao
Isangize abandi
Tanga igitekerezo