Wizara ya Mambo ya kuchunga majanga nchini Rwanda (MINEMA) imetangaza watu 12 wamefariki baada ya mvua kali iliyonyesha nchini kote kwenye sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu (Krismasi).
Viongozi wamesema waliofaariki waliangukiwa na nyuma au kuanguka mitoni.
Pamoja na hayo, mvua iliyonyesha karibu masaa matano imeharibu nyumba 113 na ha 42 za mimea zimezamaa.
Kwa hiyo, MINEMA imewataka wananchi kuchukua mbinu za kujikinga majanga. Maafisa wa serikali wamesema mvua itaendelea kunyesha.
Isangize abandi
Tanga igitekerezo